Je, Kinana ni mzalendo?

Ccm ina survive kwa kuiba chaguzi. Hakuna cha Kinana wala Nnauye. Na hayati JPM, kwa kuwa hakuwa mnafiki alituonesha hilo waziwazi. Jeshi lako, polisi wako na tume yako, utashindwa vipi kujitangaza.

Na hii lawama Nyerere ndiye aliyeipanda. Angeruhusu CUF Wapewe ushindi wao kule Zanzibar 1995, ccm wangejifunza kukubali kushindwa. Keneth Kaunda aliruhusu upinzani kupewa nchi Zambia, na tangu hapo haijawahi kuwa tatizo mpinzani kupewa nchi anaposhinda. Jerry Rawlings aliruhus hilo Ghana. Na sasa ni biggest democracy in Africa.

Kwa hiyo hizo sijui Nape na Kinana ni porojo tu.
 
MoJawapo ya nchi za kona kona ni Tz.
 
Sunda alibebwa sana na Sumaye kwasababu ya kabila lake aliuziwa hadi Mt Meru Hotel kwa bei ya kutupa.
Sunda alibebwa sana na Sumaye kwasababu ya kabila lake aliuziwa hadi Mt Meru Hotel kwa bei ya kutupa.
hapo sasa ndio alitakiwa aseme hivyo kwamba aliuziwa mt.Meru Hotel kwa bei ya kutupa ingawa na sii kupewa vitalu,Sunda long time toka apolo moto amepambana kivyake walikuja kujuana baada ya kupata jina na utajiri hivyo huwezi kusema utajiri wake umetokana na Sumai
 
Lakini kinana hajawahi kuomba uongozi au hili hulijui?tokea huo ubunge na uwaziri vyote anapewa tokea enzi ya Nyerere mpaka hii leo.
Lakini uzi wako umejaa chuki za kikabila mara wachaga,wambulu,wasomali na wahindi sijui ulitaka kufungamanisha vipi haya makabila na kinana,upo uwezekano pengine umasikini wako unaufungamanisha na haya makabila,so sad.
 
Kinana huwa anaombwa kusaidia...hajawahi kutaka mwenyewe kuongoza....Hana maneno mengi...anajua mipango..he is a winner....born winner ...the rest majungu
Kinana fisadi. Inasikitisha sana eti watu wanmwita ''comrade''. Kinana ni fisadi wa kutupwa na yuko pale kwa maslahi yake binafsi.
 
Ndivyo unavyoamini. Sikulaumu kwani elimu ya Bongo inafanya wengi waone kilicho mbele ya macho yao tu.
 
Hao ndo wenye chama chao na wanaoamini nchi ni yao pia.
 
Na huo ndio ukweli mchungu !!
 
Inakusaidia nini? Au kwasababu ni tajiri? Au ushamba na ushabiki wa kipumabavu
Ukiwa una uwezo wa kutumia sehemu ndogo ya akili iliyokubakia ungeweza kujua kwamba ni jibu kwa mtu aliyedai ni mbulu.
Umekurupuka na kudandia kisichokuhusu.
 
Tokea lini msomali akawa mzalendo ?
Wabantu kibao wamejaa humu ila wengi asili ni Malawi, Zambia, Burundi nk
Kwa kuwa hatuwezi kuwatofautisha hao na sisi basi tutaendelea kuwa hivyo na ubaguzi wa baadhi tu
 
Reactions: Tui
Kinana yupi unayemuongelea, ni yule aliyekuwa mwanajeshi miaka ya 86! Au baba yake mzee Kinana! Hebu weka mambo sawa.
Na mimi nimekaa najiuliza,hivi kinana anayemzungumzia ni yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…