Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Inategemea mana mi bibi yngu ana uwalaza mkubwa tu kwa hyo yeye maswala ya kusuka yamempitia pemeben kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Lukelo sakafu ni KE??
Wakuu,
Wanaume wengi hua wana vipara vichwani vyao, wengine kwenye utosi, wengine nyuma kidogo juu ya kisogo, wengine kuanzia utosin mpaka juu ya kisogo etc. Na wengine hua hawana kabisa vipara vichwani mwao.
Sijapata kuona mwanamke akiwa na kipara, sasa nauliza chanzo cha kipara ni nini? Hicho chanzo kinahusiana na wanaume tu?
Maswali haya nayauliza kwa hisani ya lukelo sakafu wa JF.
Huu upara wa 'ke" ni nadhira sana kuvitambuwa !!Wakuu,
Wanaume wengi hua wana vipara vichwani vyao, wengine kwenye utosi, wengine nyuma kidogo juu ya kisogo, wengine kuanzia utosin mpaka juu ya kisogo etc. Na wengine hua hawana kabisa vipara vichwani mwao.
Sijapata kuona mwanamke akiwa na kipara, sasa nauliza chanzo cha kipara ni nini? Hicho chanzo kinahusiana na wanaume tu?
Maswali haya nayauliza kwa hisani ya lukelo sakafu wa JF.
Asilimia kubwa Stressz!! na upungufu wa vitamini na madini mwilini..!!!Sababu kama zipi?