Bado natafuta
Senior Member
- Oct 3, 2021
- 126
- 138
Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe.
Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu watu 2100+ Kada afisa maendeleo msaidizi usaili wa kuandika kwa njia ya computer, majibu yalitoka watu 995 ambao wamepata alama kuanzia 70 ndio walioitwa kwenye oral interview. Wakati huo wanaohitajika watu 327 tuh.
Ustawi wa jamii nao walifanya usaili wa mchujo watu 680, walioitwa kwenye usaili wa mazungumzo ni 663 ambao wamepata alama kuanzia 50. Watu wanaohitajika ni 229.
Bado kuna Kada mbalimbali walioitwa pia.
Hivyo ukiangalia kwa makini uhitaji wa ajira bado ni mkubwa kuliko ajira zenyewe. Watu wanaitwa kwenye usaili wa mazungumzo lakini wanaohitajika ni 1/3 ya watahiniwa.
Achilia hilo watu wamemaliza miaka kumi iliyopita lakini bado hawana ajira
Nini maoni yako!!
Je nini maoni yako?
Unawashauri nini wenye uhitaji wa hizi ajira.?
Unaishauri nini serikali?
Unawashauri nini wasomi?