Bado natafuta
Senior Member
- Oct 3, 2021
- 126
- 138
- Thread starter
- #21
Kama unataka tufananishe nchi na nchi. Kabla hatujaendelea je unaifamu unemployment rate ya Qatar? Na kama unaifamu je hatuwezi kuwapita hawa?.Sasa wewe kwa nchi kama tanzania Kuna njia Gani za kutatua swala la ajira ? Yaani hizo ni ndoto za abunuasi mkuu? Kama viongozi wako wanakwambia usome kwa bidii uje ujiajiri si jui unanielewa? Yaani nachokwambia hili tatizo haliwezi kuisha mpaka mwisho wa dunia na ndio maana nimekutolea mifano nchi kama Nigeria kataka Africa wako nafasi ya pili kiuchumi wameshindwa kutatua tatizo sasa tanzania watumie njia Gani ya miujiza Hilo jambo ni gumu sana na tatizo lingine naloliona huko mbele hawa wasomi wetu wanaoingia mitaani na hawana ajira hawana mitaji kinachofuata watakuwa Kama nigeria
Kuna wakati mwingine tunatakiwa tuende mbali zaidi sio kuanza kufananisha hata nchi furani inayo. Twende in deep.
NB. uzi unasema nini kifanyike ili kupunguza tatizo la ajira nchini. Kama huna maoni juu ya hili, nyamaza