Je, Kipi ni bora na Imara kujenga "Flat roof" au "normal Roof"

Je, Kipi ni bora na Imara kujenga "Flat roof" au "normal Roof"

ferg

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
1,327
Reaction score
1,800
Wanabodi habari za usiku. Natumai mnaendelea vizuri katika ujenzi wa taifa letu.

Naomba kuuliza pia tujadili, kipi ni bora (kuzingatia uimara, gharama za ujenzi) kujenga nyumba flat roof au hizi tulizozioea kwa ajili ya makazi.

Nyumba za flat roof si nyingi sana katika jamii tunayoishi kwan wengi tumezoea hizi zilizopauliwa kwa bati na kenchi.

Hivyo naomba watalamu na wale wazoefu wa shughuli za ujenzi wanisaidie, as binafsi naona hizi nyumba za flat roof ni nzuri na zinavutia.

Nimeambatanisha picha kwa ambae hakunielewa maelezo yangu (maana sipo vizuri kwenye kuelezea) ataelewa kwa picha.
Wasalam.
themibuilder-20180802-0002.jpg
themibuilder-20180802-0001.jpg
 
Nazikubali sana flat roof aisee.
 
Kwenye ghara sijui chief, inahitajika research zaidi kwa sababu huku kwetu mji mzima dari za migongo.
Shukran sana Mkuu, hope watalamu wa ujenzi watatujuza
 
Kwenye ghara sijui chief, inahitajika research zaidi kwa sababu huku kwetu mji mzima dari za migongo.
Gharama kubwa IPO kwenye ile slab ya floor na roof. Pale kokoto, mchanga na sementi ndo inatumika zaidi.
Nadhani watu wa QSS wanaeza to a estimate ya material kutegemea ramani halafu unacalculate gharama ya material
 
Shukran sana chief. Umenipa Mwanga!
 
Ieleweke kuwa flat roof haina maana ya zege tu lazina la hasha,inaweza ikawa flat ila ni bati tu likiwa kwenye inclination ndogo sana.Kwenye vitabu inaelezwa kuwa inaanzia nyuzi 0 mpk 10 kuitwa flat roof.
Kuhusu swala la gharama flat roof ya bata inawezekana kabisa kuwa chini kulinganisha roof zenye angle kubwa zilizozoeleka mijini.
Flat roof za bata zimekuja kwa kasi sasa kutokana na ujio mpya wa nyumba za kisasa al maarufu kama Contemporary designs ambazo zinatia utamu sana kwenye roof.
I hope nimewasilisha kitu kidogo kwenye hii maada.
 
Gharama kubwa IPO kwenye ile slab ya floor na roof. Pale kokoto, mchanga na sementi ndo inatumika zaidi.
Nadhani watu wa QSS wanaeza to a estimate ya material kutegemea ramani halafu unacalculate gharama ya material
Flat roof pamoja na gharama ni fursa ya kustawisha bustani ya mboga mboga mjini juu kwa juu.
 
ferg,
kwa knowledge niliyo nayo mpaka hivi sasa,
Nadhami flat roof sio nzuri kwa mazingira yetu ya Tz, mana maeneo mengi yana mvua nyingi sana per year,
flat roof inafaa maeneo yasio na mvua nyingi.
 
kwa knowledge niliyo nayo mpaka hivi sasa,
Nadhami flat roof sio nzuri kwa mazingira yetu ya Tz, mana maeneo mengi yana mvua nyingi sana per year,
flat roof inafaa maeneo yasio na mvua nyingi.
Mvua nyingi zinaathiri vipi kama zege ni imara?
 
kijana_wa_kwanza, Ahsante sana Mkuu, inaonekana una idea na haya mambo. Pls, fafanua zaidi hapo kwenye 0 to 10 inclination kwa kutumia bati. Pia, ulipoandika "bata* ulimanisha bati??
 
Back
Top Bottom