ferg
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 1,327
- 1,800
Wanabodi habari za usiku. Natumai mnaendelea vizuri katika ujenzi wa taifa letu.
Naomba kuuliza pia tujadili, kipi ni bora (kuzingatia uimara, gharama za ujenzi) kujenga nyumba flat roof au hizi tulizozioea kwa ajili ya makazi.
Nyumba za flat roof si nyingi sana katika jamii tunayoishi kwan wengi tumezoea hizi zilizopauliwa kwa bati na kenchi.
Hivyo naomba watalamu na wale wazoefu wa shughuli za ujenzi wanisaidie, as binafsi naona hizi nyumba za flat roof ni nzuri na zinavutia.
Nimeambatanisha picha kwa ambae hakunielewa maelezo yangu (maana sipo vizuri kwenye kuelezea) ataelewa kwa picha.
Wasalam.