kijana_wa_kwanza
Member
- Jan 12, 2017
- 6
- 3
Hahaha replace bata with bati aise mambo ya typing error hayo.Ahsante sana Mkuu, inaonekana una idea na haya mambo. Pls, fafanua zaidi hapo kwenye 0 to 10 inclination kwa kutumia bati. Pia, ulipoandika "bata* ulimanisha bati??
Mi ni Quantity Surveyor by professional ndio maana nna idea ya hizi mambo.
Kuhusiana na nyuzi namaanisha angle yani inayotengenezwa kati ya ile bati na imaginary horizontal line,i hope umenisoma hapo Mhe.