AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Mashahidi wakipewa wito mahakamani na wasipotokea nini kitatokea kwa mshtakiwa?
Kwa nini nilazishwe kutoa ushahidiUtatoka wito wa kimahakama kuwalazimisha waje wakikataa itatoka oda ya kuwekwa ndani
Kesi ina kuwa postponed au kufunguliwa upya kwa kukusanya ushahidi upya.Mshtakiwa anaachiwa kwa mujibu wa sheria.
Okay.Kesi ina kuwa postponed au kufunguliwa upya kwa kukusanya ushahidi upya.