Je kisheria imekaaje endapo mashahidi wa mshtakiwa au mshtaki hawatofika mahakaman?

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Mashahidi wakipewa wito mahakamani na wasipotokea nini kitatokea kwa mshtakiwa?
 
Utatoka wito wa kimahakama kuwalazimisha waje wakikataa itatoka oda ya kuwekwa ndani
 
Nafikilia hasa mashahidi wa lisu 1,2,3,4,5 kama watakuja kweli (zingatia jinsi alivyowapanga)
 
Wanakuwa wamedharau mahakama kwahiyo watakamatwa labda kama walitoa taarifa mapema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…