Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Sep 12, 2023 #1 Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake. Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi?
Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake. Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi?
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 Sep 13, 2023 #2 Kesi ya jinai inakufa pale mtuhumiwa atakapokufa. Kesi ya jinai Haina ukomo.
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 767 Reaction score 901 Sep 15, 2023 #3 zandrano said: Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake. Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi? Click to expand... Kama nakumbuka vizuri ile case waliachiwa kwenye sheria kuna msemo unaotumika kuwa "huwezi fungua case kwa watu wale wale na kwenye case ile ile ambayo imeshatolewa maamuzi"
zandrano said: Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake. Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi? Click to expand... Kama nakumbuka vizuri ile case waliachiwa kwenye sheria kuna msemo unaotumika kuwa "huwezi fungua case kwa watu wale wale na kwenye case ile ile ambayo imeshatolewa maamuzi"