Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Ngoja ni "gugu" nioneChukua hii kwa faida
Akikujia mgonjwa wa kisukari akikwambia katumia dawa zote hajaona matokeo
Mwambie akapime
Cholesterol na uric acid
Kisha shughulika na hayo
Huku mpe mlo sahihi wa kula kulingana na shida yake
Kuna uhusiano mzuri tu wa kugoma kushuka sukari na Cholesterol na uric acid
Muda mwingine gugo haisemi ukwelNgoja ni "gugu" nione
Mimi hapa nimeanza kuona dalili za kisukari,napata kiu sana then nakojoa sana.
Usiku nakojoa kama mara nne
Kukojoa Inategemea Labda Unakula Na Kunywa Vyakula Vya Maji Maji UsikuMimi hapa nimeanza kuona dalili za kisukari,napata kiu sana then nakojoa sana.
Usiku nakojoa kama mara nne
Ndo yenyewe😊😊Mimi hapa nimeanza kuona dalili za kisukari,napata kiu sana then nakojoa sana.
Usiku nakojoa kama mara nne
Yes,nakuwa na kiu sana ..so nakunywa maji mengi.Kukojoa Inategemea Labda Unakula Na Kunywa Vyakula Vya Maji Maji Usiku
Yes,nakuwa na kiu sana ..so nakunywa maji mengi.Kukojoa Inategemea Labda Unakula Na Kunywa Vyakula Vya Maji Maji Usiku
Yani hata kwenda kupima naogopa,nimeanza kuacha vyakula vya wanga na kupunguza beerNdo yenyewe😊😊
Kikubwa ndo hicho usianze kudanganywa kuyanywa madawa ya kizungu nasikia yanaharibu figo fastaa...Yes,nakuwa na kiu sana ..so nakunywa maji mengi.
Ila siumwi s
Yani hata kwenda kupima naogopa,nimeanza kuacha vyakula vya wanga na kupunguza beer