Je, kitakwimu Kagere alikuwa bora kuliko Mayele?

KAGERE
Idadi ya timu 20
Idadi ya mechi kwa kila timu 38
Idadi ya magoli 23
Average Goals per match 60.53%

MAYELE
Idadi ya timu 16
Idadi ya mechi kwa kila timu 30
Idadi ya magoli 17
Average Goals per match 56.67%
 
Tutapataje dk walizochoza , maana hata kama timu ni 20 mechi zinaweza kuwa chache kuliko Mayele ,Mayele kila mechi alikuwepo,nadhani hata haizidi mechi nne ambazo hakwepo kwa misimu miwili aliyocheza
Tuache kudhani. Lete facts ni mechi ngapi alikosa?
 
Hata wewe ukiweka uzi mtu akuite nyani kama Lucy alivyosema lazima utareact.

Turudi kwenye takwimu kujenga hoja
KAGERE
Idadi ya timu 20
Idadi ya mechi kwa kila timu 38
Idadi ya magoli 23
Average Goals per match 60.53%

MAYELE
Idadi ya timu 16
Idadi ya mechi kwa kila timu 30
Idadi ya magoli 17
Average Goals per match 56.67%
 
KAGERE
Idadi ya timu 20
Idadi ya mechi kwa kila timu 38
Idadi ya magoli 23
Average Goals per match 60.53%

MAYELE
Idadi ya timu 16
Idadi ya mechi kwa kila timu 30
Idadi ya magoli 17
Average Goals per match 56.67%
Haya jifurahishe
Kagere ni bora
Ni Haland mtupu
Bonge la striker
Alitakiwa na Al Hilal pale Saud Arabia akacheze na CR7 akagoma
ana ballon dor 7
Hakuna kama kagere
Natumai sasa umefurahi mbumbumbu
Unakenua hapo
 
Mzee unaongea kishabiki kumbe, unatak kusema katika mechi 72 za misimu 2 mayele hajacheza mech 4 tu?
Siyo kishabiki mkuu,mi natafuta takiwmu ila watu wanajadili kiushabiki, nimemaanisha kwa msimu mmoja siyo misimu miwili
 
Haya jifurahishe
Kagere ni bora
Ni Haland mtupu...
Mkuu leta takwimu kama unazifahamu tuweke ushabiki pembeni,tunachofanya ni kuoanisha takwimu
 
Mshambuliaji bora wa Muda Miaka 10 ni John Rafael Boko...!

Hakuna Cha Mayele wala Kagere..!
 
Mkuu leta takwimu kama unazifahamu tuweke ushabiki pembeni,tunachofanya ni kuoanisha takwimu
Takwimu gani unataka
Wakati unajipofua tu
Mayele alicheza ligi moja na kagere kwa wakati mmoja

Au kipindi mayele anacheza kagere alikuwa ligi ya somalia? Hakuwa NBC premier league

Au unataka kugundua nini?
 
KAGERE
Idadi ya timu 20
Idadi ya mechi kwa kila timu 38
Idadi ya magoli 23
Average Goals per match 60.53%

MAYELE
Idadi ya timu 16
Idadi ya mechi kwa kila timu 30
Idadi ya magoli 17
Average Goals per match 56.67%
Unapataje average goal per match pasipo kuweka idadi ya mechi walizocheza kila mmoja?
 
Mayele ni fala tu kwa Meddie.
Kama kawaida ya mashabiki wa simba πŸ˜…πŸ˜… sasa jamaa unamtukana kakukosea nini? Tate Mkuu huyu huku mwingine

Any way ligi ilibadilika sana Azam Tv walivoweka hela ligi ilibadilika ghafla ni nani alijua mbeya city inaweza kushuka daraja? Hivi Ihefu ilivyoanza nani angeamini ingemfunga yanga na ikatoka mkiani , wengi waliamini Ihefu itaondoka ya kwanza kushika daraja
 
ndio lakini usilinganishe muda wa mayele na wa kagere,pia uwezo binafsi wa mayele na kagere ni mbingu na ardhi

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Unapataje average goal per match pasipo kuweka idadi ya mechi walizocheza kila mmoja?
Basi tukiweka idadi ya mechi tutakuta kuna baadhi ya mechi kuna wenye walipigwa sub hawakucheza dakika zote 90, itatulazimu tuingie kwenye dakika walizocheza uwanjani.
 
Mayele katika NBC

Games 56

Minutesplayed 4356

Assists 9

Goals. 33

Hatrick 1

Goals involvements 42
 
Huyo ni mmoja wa wale mashabiki wa simba walioshukuru Fiston Kalala Mayele kuondoka. Maana aliwatetemesha kweli kweli.
 

Na CAF nako statistics zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…