Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
KAGEREKagere alifunga hayo magoli yote kipindi kile ligi ina timu 20. Kagere alifunga hayo magoli kipindi mshindi wa ligi anakula mil 80 sio sasa ambapo kila timu kwenye ligi inapata mgao wa haki za matangazo.
Yani kiufupi kipundi hiko kulikua na ukata sana
Idadi ya timu 20
Idadi ya mechi kwa kila timu 38
Idadi ya magoli 23
Average Goals per match 60.53%
MAYELE
Idadi ya timu 16
Idadi ya mechi kwa kila timu 30
Idadi ya magoli 17
Average Goals per match 56.67%