KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Liko wapi?Una update kwenye daftari la makazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liko wapi?Una update kwenye daftari la makazi
mifumo inataswa kusomanaUkihama unapoishi NIDA Tanzania wata update vipi taarifa zako?
Kumbe hata kwenye job application wanataka utamnulisho wa serikali ya mtaa? sasa huku ni kukariri vibaya.Unatambulishwa nini?ni nini kikubwa kati ya NIDA na sahihi ya mzee AMANZI (baba mudi) mwenyekiti wangu wa mtaa?.nilidhani kama huna ID ndiyo utambulishwe na mamlaka za serikali za mtaaNi kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini?
Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa na hapohapo tena barua kutoka serikali za mitaa. Ina maana kitambulisho cha taifa hakitoshi au hakijitoshelezi mpaka tena kuwepo na barua kutoka serikali za mitaa?
Mimi naona hizi barua kutoka serikali za mitaa zibaki kwenye maombi ya kazi ambazo zinahitaji mzaliwa wa eneo fulani (mwenyeji) na isitumike kwenye maombi ya kazi za kitaifa ambazo mtu yeyote anaweza kuajiliwa mahala popote pale.
Hali hii inaleta usumbufu na mlolongo mrefu kwa waombaji wa kazi husika na usumbufu pia kwa waombaji na hata kwa viongozi wa serikali za mitaa.
Wanaolipa posho za usafari watakudai ticketi za safari.Wengine hulipa posho za usafiri au usafiri au nyumba kujua unaishi wapi kwao muhimu
Pia ni njia ya kukujua kuwa unakoishi kuna watu wanakujua wasijeajiri mtu asiyejulikana akaleta shida mbele
Hahah una pointHujui kwamba Africa tuna amini kuteseka ndio mafanikio😂
Serikali za mitaaLiko wapi?
Sio kweli kwenda kazini na kurudi wengi ama wanatoa usafiri,au posho flat rate kutegemea unaishi wapiWanaolipa posho za usafari watakudai ticketi za safari.
Sio kweli kwenda kazini na kurudi wengi ama wanatoa usafiri,au posho flat rate kutegemea unaishi wapi
Inawasaidia kwenye hiyo mipango pia
Hizo barua si lolote. Zinapatikana kirahisi tu.Wewe unahisi hizo barua watu wote wanazichukulia mahali walipozaliwa au kwenye makazi yao ya kudumu? Mtu anachukua barua mahali ambapo tangazo la kazi limemkuta anaishi kwa wakati huo
As long as katiba inasema mtanzania anayo haki ya kuishi kufanya kazi mahali popote Tz, hakuna sababu ya kudai vitu vyote hivyo kama mhusika anacho kitambulisho cha Taifa. Naamini taarifa zote zipo kwenye hiki kitambulisho. Tuache kutengeneza mazingira ya kupotezeana muda, muda ni mali.Nida umesajili kibamba kazi uombe dodoma unaishi dodoma. Ukipotea? Kama una kesi za jinai? Kama unatafutwa, unadhani wapi itakua chimbuko lako, na wapi utakua makazi yako itafahamika vipi.
It carries your history. Ni muhimu sana katika ajira. Maana mpaka upate hyo barua fahamu unakua umeheshimika sana.
Kuwa mwizi mtaani kwenu au fanya fujo mtaa husika kama utaipata hyo barua.
Deadline 28 mwezi wa saba ndio kwanza january 3 muda gani unapotezwa.As long as katiba inasema mtanzania anayo haki ya kuishi kufanya kazi mahali popote Tz, hakuna sababu ya kudai vitu vyote hivyo kama mhusika anacho kitambulisho cha Taifa. Naamini taarifa zote zipo kwenye hiki kitambulisho. Tuache kutengeneza mazingira ya kupotezeana muda, muda ni mali.
Mtu huwezi ajiriwa bila referees hakuna kitu kana hicho duniani koteNdiyo waanze kupanga wakati wa recruitment stage kweli? Bwana HR unawamislead wawajili.mtu anaweza akawa amepanga mbagala akipata kazi msakuzi anahamia karibu huko huko.
Verification ya wapi unaishi lazima hutaki usiombe kazi sio.lazima kila mtu aajiriwe kafanye shughuli zingineAs long as katiba inasema mtanzania anayo haki ya kuishi kufanya kazi mahali popote Tz, hakuna sababu ya kudai vitu vyote hivyo kama mhusika anacho kitambulisho cha Taifa. Naamini taarifa zote zipo kwenye hiki kitambulisho. Tuache kutengeneza mazingira ya kupotezeana muda, muda ni mali.