GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kawaida kabisa kuisikia nchi ya Burundi au kupitia Rais wake wakipenda sana 'Kujianika' juu ya Mipango yao ya 'Kiustawi' na 'Rasilimali' zake kwa nchi moja Rafiki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Je, Wabobezi wa Mambo ya Kiitifaki na Kiusalama kitendo hiki cha Taifa la Burundi kupenda 'Kujibebisha' na mpaka 'Kujitongozesha' kwa hiyo kiasi cha hata 'Siri' zake zote Kujulikana nayo si Hatari na Tishio kwa Usalama wake wa Taifa na huko mbeleni Mataifa haya (hayo) yakichenjiana na kuamua 'Kuzichapa' Burundi ikapigwa ndani ya Nusu Saa na ikawa ni Mkoa ndani ya nchi hiyo ambayo hata hivyo kwa bahati mbaya GENTAMYCINE nimeisahau japo nilikuwa naikumbuka mno kabla sijaanza Kuandika Uzi huu.
Ni matumaini yangu makubwa mno baada ya nchi ya Burundi kuiambia hiyo nchi rafiki kuwa sasa imegundua Madini ya Dhahabu na mengineyo pia itatoa Siri zake zaidi za wapi inaweka (inahifadhi) Silaha zake, huwa inapigana vipi Vita zake na Burundi kama nchi katika Hazina (Benki) yake mpaka sasa ina Shilingi ngapi kama Taifa.
Burundi imeamua 'Kujilipua' rasmi tu.