Je kitendo cha yanga kusajili wachezaji wa aina moja zaidi ya watatu wanakosea??

bernard10

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
410
Reaction score
732
HABARINI wanamichezo wenzangu nimeona nisikie kutoka kwenu huu mfumo wa yanga kuleta/KUSAJILI WACHEZAJI wa eneo moja. Je ina afya kwa club na wachezaji husika?? Kwa mfano eneo la mshambuliaji no. 9 eneo hili Lina Mayele ambaye anaonekana kuwa chaguo la kocha, Kuna Makambo ambaye ana historia nzur kipindi Cha nyuma na club hii kongwe na Sasa kaongezeka no.9 mwingine kutoka Mbeya Kwanza, bwana Ngushi na tetesi chinichini Moses Phir nae yuko mbion kusajiliwa.

Sasa je hili suala Lina afya kwa maendeleo ya club na walengwa yaani wachezaji?
 
Nabbi alishasema kila no inatakiwa iwe na Mzawa kuepusha sintofahamu kam hizi za kwenda afcon.
 
Naona wanasajilisajili tu, Naby anasema kila nafasi anataka wachezaji watatu. Kwa sajili zilizofanyika mpaka sasa zinatosha, kocha afundishe na alete vikombe na siyo kuzungumzia sajili mpya kila wakati.
 
Hao wamesajiliwa kama washambuliaji lakini wewe kwa uelewa wako mdogo wa mambo haya unawachukulia kiujumla tu eti namba tisa ukifikiri kwamba mshambuliaji ni namba tisa tu.

You know nothing concerning soccer pattern and formation but you've only crammed about the numbers on the pitch. You must frankly admit ignorance in this regard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…