bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
HABARINI wanamichezo wenzangu nimeona nisikie kutoka kwenu huu mfumo wa yanga kuleta/KUSAJILI WACHEZAJI wa eneo moja. Je ina afya kwa club na wachezaji husika?? Kwa mfano eneo la mshambuliaji no. 9 eneo hili Lina Mayele ambaye anaonekana kuwa chaguo la kocha, Kuna Makambo ambaye ana historia nzur kipindi Cha nyuma na club hii kongwe na Sasa kaongezeka no.9 mwingine kutoka Mbeya Kwanza, bwana Ngushi na tetesi chinichini Moses Phir nae yuko mbion kusajiliwa.
Sasa je hili suala Lina afya kwa maendeleo ya club na walengwa yaani wachezaji?
Sasa je hili suala Lina afya kwa maendeleo ya club na walengwa yaani wachezaji?