Je, Kiusalama na Kiulinzi hiki ninachokiona sasa huku nchini Puerto Rico si hatari kwa Rais wetu?

Vita ya Uchumi ni mbaya kuliko ya Kisiasa nazan umeelewa. .wakati ni ukuta ukishindana na wakati utaumia mfano rahsi fatilia Threads za kukosoa kila jema la JPM apa kuna ambao hawataki kuamin macho yao kua wakati wa deal umeshapta...no way ndege imeshapaa na tutafka kwenye Tanzania Mpya ambayo wajukuu na vitukuu Vyetu vitaifaidi mema ya Nchi hii...GOD BLESS YOU JPM
 
Nchi ya Puerto Rico ndiyo nchi gani mjomba? Mimi nafahamu Puerto Rico ni sehemu ya taifa la marekani... Na hawana rais kule! Au!?
 
Reactions: SDG
Kweli bongo vilaza wengi , yani wanashindwa kuielewa nch ya "Puerto Rico" mtoa mada aliyoimaanisha.

Mkuu hata mimi naish Puerto Rico , nilijiuliza swali hili nikakosa jibu, labda ni maagizo ya mwenyew kiongoz wetu Puerto Rico.
 
Basi toa jibu , acha ngonjera
Ngoja nikae kimya maana nishafunguliwa uzi kua najibu watu vibaya be care with me..
BTW Nakukumbusha chunga sana marinda yako yasije tatuliwa buree..

CIAO..
 
weka photoo
 


!
!
Kila a huyo mkuu, hajaisoma code uliyotumia
 
hivi mbona hamjibu swali lake mmebaki na wivu aliowatengenezea katika kuwasilisha alichouliza, hii inaonyesha watu wanatamani kukimbia nchi lakini msihofu bado mda mchache sana atakuja mwingine.
 
ulichosema kina ukweli na hasa kwa mazingira ya sasa mtu anaweza kujilipua akamuua baba mwenyenyumba binadamu aaminiki kwa kiasi hicho.
 
Mensah JF haiwezi poteza sifa kwa utashi wa mtu mmoja anayejiona yeye ni bora kuliko Jukwaa..

Mada: Ulinzi kuwa mkubwa ndani ya mipaka ya utawala wako ni uoga na kutojiamini.. Najiuliza akienda pale Syria huenda jeshi zima likahamia pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…