Je, Kobe huishi miaka mingapi?

Je, Kobe huishi miaka mingapi?

Charles Gerald

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
1,403
Reaction score
1,837
Jamani habari za jumapili, napenda kujua kuhusu Kobe kwanini anaishi miaka mingi nasikia eti anafikisha mpaka miaka 500, je kipi kinamfamya aishi maisha marefu hivi, hana bacteria au parasites wanaoweza kumdhuru kwa kumsababishia magonjwa?.
Karibuni wadau tuelimishane.
 
Hali vyakula vya chumvi, sukari wala mafuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani habari za jumapili, napenda kujua kuhusu Kobe kwanini anaishi miaka mingi nasikia eti anafikisha mpaka miaka 500, je kipi kinamfamya aishi maisha marefu hivi, hana bacteria au parasites wanaoweza kumdhuru kwa kumsababishia magonjwa?.
Karibuni wadau tuelimishane.
Kuna padri mmoja kule pawaga aliishi miaka 100....amefariki mwaka juz (R.I.P) alikuwa anakula sana kobe na Samaki yaan hakuna mlo upite bila mnofu wa either Kobe or Samaki na alituambia ukitumia Kobe unaongeza miaka ya kuishi
 
Fanya kila kitu polepole ,kula tembea kunya gegeda polepole na wewe utaishi muda mrefu .
Maisha ya kobe yanachelewa so kifo chake kobe kwa miaka zaidi ya 15 ni kifaranga jike by 30yrs anaweza kumate wakati dume anapuga bao la kwanza kuanzoa 50yrs wewe ukifikisha miaka 15 unataka ugegede mademu wote by 40 uko taabani.
Jikobelize uishi muda mrefu
 
Duh! kobelizer!
 
Yep yaani hata ukiongea ongea polepole kuliko Maratu wa aii tiiviiiiiim
Tumia kama dk 2 hivi kusema"Mambo?" Yaani unaanza kupanua mdomo polepole kama sow.muvi vile then utakuwa umeweza kujikolesha!
Inakuwa kobeism hiyo!
 
Nasikia hata wale kunguru weusi wanaishi karne moja.
 
Kobe wako wa aina nyingi,na kila aina wana uwezo tofauti katika kuishi,kuna kobe wa nchi kavu,hawa ni wale ambao wanaishi ardhini kawaida wanaweza kuishi hadi miaka 500 na wa majini wanaweza ishi mpaka miaka 80 ingawa kuna vyanzo vingine vinasema hawa ndioaina ya kobe wanaoweza kuishi miaka minfi zaidi KASA,lakinimaisha ya kobe yako kama maisha ya binadamu yanaweza kuathirika na vitu vingi ikiwemo uharibifu wa mazingira wanayoishi na changamoto zingine,vile vile kobe anayefanyiwa utafiti yuko katika mazingira gani,kobe nayeishi zizini hawezi kuwa na umri sawa na kobe anayeishi mazingira yake halisi
 
Wale wa Znz mkubwa kabisa anapush 160 na wanasema ndiokwanza yupo kwenye ujana wa miaka 30 ya binadamu! Wangekuwa wanasema wale wangetuambia mengi kuhusu nchi zetu tuondokane na hizi story za mashujaa wa uongo uongo!
 
no wonder wachina wana policy za uzazi maana wanajuwa wanakula hivi vitu vya asili na matokeo yake kufa kwa sababu ya umri na maradhi inakuwa nadra. hivyo wakiendelea kuzalina kwa utaratibu wa kawaida dunia nzima tutakuwa wachina
 
Back
Top Bottom