Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Hali vyakula vya chumvi, sukari wala mafuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani habari za jumapili, napenda kujua kuhusu Kobe kwanini anaishi miaka mingi nasikia eti anafikisha mpaka miaka 500, je kipi kinamfamya aishi maisha marefu hivi, hana bacteria au parasites wanaoweza kumdhuru kwa kumsababishia magonjwa?.
Karibuni wadau tuelimishane.
Kuna padri mmoja kule pawaga aliishi miaka 100....amefariki mwaka juz (R.I.P) alikuwa anakula sana kobe na Samaki yaan hakuna mlo upite bila mnofu wa either Kobe or Samaki na alituambia ukitumia Kobe unaongeza miaka ya kuishiJamani habari za jumapili, napenda kujua kuhusu Kobe kwanini anaishi miaka mingi nasikia eti anafikisha mpaka miaka 500, je kipi kinamfamya aishi maisha marefu hivi, hana bacteria au parasites wanaoweza kumdhuru kwa kumsababishia magonjwa?.
Karibuni wadau tuelimishane.
Duh! kobelizer!Fanya kila kitu polepole ,kula tembea kunya gegeda polepole na wewe utaishi muda mrefu .
Maisha ya kobe yanachelewa so kifo chake kobe kwa miaka zaidi ya 15 ni kifaranga jike by 30yrs anaweza kumate wakati dume anapuga bao la kwanza kuanzoa 50yrs wewe ukifikisha miaka 15 unataka ugegede mademu wote by 40 uko taabani.
Jikobelize uishi muda mrefu
Yep yaani hata ukiongea ongea polepole kuliko Maratu wa aii tiiviiiiiimDuh! kobelizer!
Inakuwa kobeism hiyo!Yep yaani hata ukiongea ongea polepole kuliko Maratu wa aii tiiviiiiiim
Tumia kama dk 2 hivi kusema"Mambo?" Yaani unaanza kupanua mdomo polepole kama sow.muvi vile then utakuwa umeweza kujikolesha!
Loooh kali hiiInakuwa kobeism hiyo!
Yaah! unajikobeism unaishi maisha marefu kama kobe.Loooh kali hii