Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza. Hivi ni lini tutaweza kutoza Kodi Mikoa, Wilaya, Kata na Kijiji/ Mtaa?
Ili wanavyopelekewa fedha za Umma kwaajili ya maendeleo wanapaswa waonje uchungu, wawe makini na waweze kuweka nidhamu ya fedha.
Karibu.