Sidhani kama kutoza kodi ngazi ya Mikoa, Wilaya, Kata na Vijiji ni wazo zuri. Hii inaweza kusababisha over-taxation kwa wananchi ambao tayari wanalipia kodi za kitaifa.
Tunahitaji strengthen accountability na kuhakikisha fedha zinazotolewa zinatumika kwa ufanisi, sio tu kuongeza kodi ambazo zitakuwa burden zaidi kwa wananchi. Mfumo mzuri wa monitoring and evaluation utaleta matokeo bora kuliko kodi za ziada zisizo na mpango madhubuti.