Je Kondom moja ni salama kwa kizazi hiki?

Mnyalukolo Vahukaye

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
461
Reaction score
379
Habarin ndugu!

Ninavyofaham hua tunatumia kondom kwa lengo la kuepuka magonjwa ya ngono hasa HIV ambapo hutakiwa kuvalisha/kuvika maungo yanayojishughulisha na tendo la kugegedana yaan dushe au K

lkn kwa uhalisia uliopo ni kua kizaz iki wakat wa ku'sex hua tunatumia viungo Vingi km ndimi kwa kunyonyana au kunyonyea kisimi ,vidole hasa cha kati kwa ajili ya kuichokonoa sehem K, na kwa wale wenzangu na mie wanaoutumia mlango wa nyuma pia.

Izo njia zote zinaweza kusababisha michubuko kwa watumiaji na hatimae maambukiz kuweza kuenea kutoka mmoja wapo kwenda kwa mwingine

Ninachojiuliza ni Je, kuvaa kondom tulizozizoea kunaifanya ngono kua salama au hua tunajidanganya?????
 
Ndimi ni kwa mke tu lakini emergency bitch no ndimi but only pull and push.
 
Waacha wafe tu hamna namna,
Yaani uwaambie waache kuzama chumvini!!! Watakupiga mawe asee.
 
Habarin va'ndg.
Ninavyofaham hua tunatumia kondom kwa lengo la kuepuka magonjwa ya ngono hasa HIV ambapo hutakiwa kuvalisha/kuvika maungo yanayojishughulisha na tendo la kugegedana yaan dushe au K

lkn kwa uhalisia uliopo ni kua kizaz iki wakat wa ku'sex hua tunatumia viungo Vingi km ndimi kwa kunyonyana au kunyonyea kisimi ,vidole hasa cha kati kwa ajili ya kuichokonoa sehem K, na kwa wale wenzangu na mie wanaoutumia mlango wa nyuma pia.... .

Izo njia zote zinaweza kusababisha michubuko kwa watumiaji na hatimae maambukiz kuweza kuenea kutoka mmoja wapo kwenda kwa mwingine

Ninachojiuliza ni Je, kuvaa kondom tulizozizoea kunaifanya ngono kua salama au hua tunajidanganya?????

Narudia tena kusema kuwa Wanaume wote wanaotumia Condoms wakati wa Kubandua ni wadhaifu Kichwani ( Mapopoma ) na pengine wanahitaji haraka sana kwenda kupimwa akili kwani yawezekana kuna Nyaya kadhaa katika Ubongo wao zimelegea. Hivi nyie Wanaume wenzangu mnaotumia Condoms mnadhani Mwenyezi Mungu alikuwa Popoma / Pumbavu kama nyie hadi akaamua Kuumbe Mbunye na Mkuyenge ili zishirikiane Kibaiolojia / Kubanduana Kavu Kavu? Siku zote Mwanaume Shujaa na Jemedari wa ukweli hatumii Condom anapombandua Demu yoyote yule.
 
Hahaha,nimecheka sana huo msamiati MKUYENGE,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom