Je Kondom moja ni salama kwa kizazi hiki?

Je Kondom moja ni salama kwa kizazi hiki?

99% Ya Maambukizi Ya Ukimwi Ni Mikasi Tu. Jaribu Kuacha Af Uwe Unapga Hvyo Vnanda Vyako Hata Kwa Kahaba Unaweza Ucpate Labda Mafungus Ya Mdomo Ndo Yatakua Yanakuandama Mara Kwa Mara. Au Na Ww Utakua Mjinga Uwe Na Vdonda Mdomoni Au Fungus Af Uingie Mgodini! Mikito Tu Mkuu, Inanyesha Mvua Ya Mawe Hadi Mwavuli Unachanika.
 
Bas hakuna namna zitengenezwe kondom za vidole na midomo pia.Fulsa hii Sarah tujichange tuanzishe kiwanda.
 


Nashauri watanzania wawe makini na gonjwa la Ukimwi. Hakika haliwezi kukuacha salama bila kuzingatia akiongeacho mleta Mada.
[emoji120] kwa kuunga mkono hoja...watumiaj wengi wa kondom huamini sex hua salama kwa kuvaa uumen au chumvini wanasahau sehem nyingine zihusikazo na shughuli hii
 
Back
Top Bottom