Mwanakanenge
Member
- Nov 25, 2012
- 75
- 17
Habari za leo wanajukwaa,
Naomba mnipe mwanga juu ya kuanzisha shule sekondari ya binafsi(O-level) ni vitu gani vya msingi vinavyohitajika.
(i) Eneo la shule liwe ekari ngapi?
(ii)Je kwa kuanzia shule inatakiwa iwe na madarasa mangapi kukidhi vigezo
(iii)Taratibu za usajili zikoje
(iv)Gharama ya kujenga darasa 1
(v)Na mengineyo ambayo mimi sijayauliza kuhusu kuanzisha shule
Naomba niwasilishe!