Taratibu kimoja kimoja watajitegemea, mwishowe. Watasema bakini na vya kwenu. This was bad move by j.k.nyerereKwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?
Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.
Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika Tanzania bara na Visiwani.
Je, ni sahihi kikatiba kuwa na mashirika mawili shindani yanayotoa huduma moja kwa watanzania?
Labda ni matakwa ya Sultani si tumesikia anataka kurejeaKwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?
Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.
Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika Tanzania bara na Visiwani.
Je, ni sahihi kikatiba kuwa na mashirika mawili shindani yanayotoa huduma moja kwa watanzania?
Hawawezi kujitenga wakati wanainyonya Tanganyika iliyolala usingizi wa pono.Katiba ya Zanzibar yenyewe inakiuka katiba ya JMT, sembuse hizo taasisi?
Wenye kuhoji tumehoji sana ikiwa Zanzibar inajiandaa kujitwalia uhuru kamili.
Je, Zanzibar inajiandaa kujitwalia uhuru kamili?
Tangu kuasisiwa kwake mwaka 1964, mauungano wa Tanganyika na Zanzibar umeonekana wazi kugubikwa na ujanja ujanja mwingi. Ni jambo lililo wazi kabisa kuwa waasisi wa muungano walikua na malengo yasiyofanana, mwalimu Nyerere alidhamiria kuwepo na muungano kamili chini ya serikali moja huku mzee...www.jamiiforums.com
Akina Paschal wameeleza kwa kirefu namna ambavyo katiba ya Zanzibar ni haramu.
Lakini mambo yanasonga kama yalivyo
Mzaha mzaha hutumbua usaha. Kuna siku mtasikia imeitoshwa kura ya maoni na watu wameamua kujitenga.
Wamelalamika sana, naona wameamua kufanya kwa vitendoTaratibu kimoja kimoja watajitegemea, mwishowe. Watasema bakini na vya kwenu. This was bad move by j.k.nyerere