Je, kuanzishwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ina maaana Mawasiliano yameondolewa katika mambo ya Muungano?

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,193
Reaction score
810
Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?

Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.

Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika Tanzania bara na Visiwani.

Je, ni sahihi kikatiba kuwa na mashirika mawili shindani yanayotoa huduma moja kwa watanzania?
 
Wazanzibar wanatumia pesa kutoka shamba la bibi Tanganyika kujijenga.
 
1735576439932.png

duru zinasema dereva akifika zanzibar na lesseni yake kule inatambulika kama leseni ya kigeni hivo inabidi akate kibali kuitumia
 
Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?

Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.

Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika Tanzania bara na Visiwani.

Je, ni sahihi kikatiba kuwa na mashirika mawili shindani yanayotoa huduma moja kwa watanzania?
Taratibu kimoja kimoja watajitegemea, mwishowe. Watasema bakini na vya kwenu. This was bad move by j.k.nyerere
 
Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?

Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.

Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika Tanzania bara na Visiwani.

Je, ni sahihi kikatiba kuwa na mashirika mawili shindani yanayotoa huduma moja kwa watanzania?
Labda ni matakwa ya Sultani si tumesikia anataka kurejea
 
Katiba ya Zanzibar yenyewe inakiuka katiba ya JMT, sembuse hizo taasisi?

Wenye kuhoji tumehoji sana ikiwa Zanzibar inajiandaa kujitwalia uhuru kamili.

Akina Paschal wameeleza kwa kirefu namna ambavyo katiba ya Zanzibar ni haramu.

Lakini mambo yanasonga kama yalivyo

Mzaha mzaha hutumbua usaha. Kuna siku mtasikia imeitoshwa kura ya maoni na watu wameamua kujitenga.
 
Hawawezi kujitenga wakati wanainyonya Tanganyika iliyolala usingizi wa pono.

Mali ya Ta ganyika ndiyo ya muungano m, mali ya zanzibar ni ya zanzibar tu .

Zanzibar itajitoa katika muungano pake tu Tanganyika itakapoamka na kuamuax kuwa mali ya Tanganyika ni ya Tanganyika tu.
 
Back
Top Bottom