Zanzibar 2020 Je, Kuapishwa kwa Maalim Seif kunatupa somo jipya katika Siasa za Tanzania?

Zanzibar 2020 Je, Kuapishwa kwa Maalim Seif kunatupa somo jipya katika Siasa za Tanzania?

Nimejifunza kutosumbuka asubuhi kwenda kupiga kura tena hakuna mpinzani wote njaa
Wengi ni njaa na sisi wananchi hatuwezi kutofautisha wenye nia ya dhata kati ya kundi kubwa la wenye njaa.
 
Haahaa SoMo ni kwamba mbwa anajifukuzia mwenyewe.Wapemba wamekula kila aina ya mateso mwisho wa siku seif Kaula na wake zake. Wapemba mkiambiwa habari za maandamano mjiongeze
Alikuwa anataka kuwatoa kafara wananchi huku akijua dhima yake ya kutaka madaraka tuu
 
Somo jipya!
1456109.jpg
457901234.jpg
 
Miezi miwili iliyopita mlikuwa mnawasifia ACT, tena hadi ikafikia hatua mgombea wenu wa uRais Zanzibar kwa chama chenu mkamtema ili kuwaunga mkono ACT, how leo wamekuwa wapinzani uchwara
Wameonyesha nia yao ya dhati kuwa ni uchu wa madaraka tuu
 
Watu wapigwe waumizwe wengine wachomewe nyumba zao halafu useme somo kalipata Amsterdam, hizi akili zenu za ajabu zitaendelea kuliangamiza taifa mkishirikiana na wapinzani uchwara kama hao ACT, na hao wafuasi wa ACT wakipenda waendelee kutumiwa tu.
Mkuu hizo tulishazipa jina "AKILICCM" wanazijua wenyewe
 
Nawaza lipumba anajionaje baada ya kufanya figisu kumuondoa mwenzie,na mwenzie ss anakula tena kupitia ACT
 
Hii ni kawaida kwa masuala ya vyama vya siasa na mfumo wa maamuzi, na safari hii wenzetu wameonyesha demokrasia pana kuliko tulivyo fanya sisi wakati wa maamuzi ya kumkaribisha Lowassa na kundi lake katika uongozi wa Chama.

Wao japo wamepata maoni kutoka kwa wana chama wao. Sisi hakuna kuulizwa wanachama kilichotokea tulifuata walicho amua viongozi.

Wanasiasa wote ni mfano tu wa Nyani, tofauti huwa ni msitu tuu.
 
Nawaza lipumba anajionaje baada ya kufanya figisu kumuondoa mwenzie,na mwenzie ss anakula tena kupitia ACT
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wote hawa wanacheza mdondo wa CCM kwani CCM inawatumia kwa kadri inavyotaka.
 
Tuweni makini sana na hawa wanasiasa uchwara. Nashauri tuu tuache kuwa washabikia wa hawa wachumia tumbo. Tuungane kwa pamoja na tupiganie kupata Katiba ambayo itatenganisha majukumu ya Serikali, Bunge pamoja na Mahakama hapo ndipo tunaweza kupata mabadiliko ya kweli katika nchi yetu katika nyanja zote.
Kwa maoni yako haya Tuambie tunaanzia wapi kudai hiyo katiba Mpya?
Na ili madai yako CCM wayakubali si ndio kifo chao kimejiri?
Tufanyeje ili kuwalizimisha CCM kutupa katiba mpya?
 
Hii ni kawaida kwa masuala ya vyama vya siasa na mfumo wa maamuzi, na safari hii wenzetu wameonyesha demokrasia pana kuliko tulivyo fanya sisi wakati wa maamuzi ya kumkaribisha Lowassa na kundi lake katika uongozi wa Chama.

Wao japo wamepata maoni kutoka kwa wana chama wao. Sisi hakuna kuulizwa wanachama kilichotokea tulifuata walicho amua viongozi.

Wanasiasa wote ni mfano tu wa Nyani, tofauti huwa ni msitu tuu.
Lakini Haya mambo yataendelea mpka lini?
 
Kwa maoni yako haya Tuambie tunaanzia wapi kudai hiyo katiba Mpya?
Na ili madai yako CCM wayakubali si ndio kifo chao kimejiri?
Tufanyeje ili kuwalizimisha CCM kutupa katiba mpya?
Eti jamani tuanzie wapi?
 
Kwa maoni yako haya Tuambie tunaanzia wapi kudai hiyo katiba Mpya?
Na ili madai yako CCM wayakubali si ndio kifo chao kimejiri?
Tufanyeje ili kuwalizimisha CCM kutupa katiba mpya?
Katiba ni jambo la Nchi kwa ujumla. Tunaweza kusimama wote bila kujali vyama vya siasa kama ilivyokuwa kipindi cha uhuru. Ikiwa wananchi tunakiamua kwa pamoja tunaweza hata ambao wapo CCM wataunga mkono juhudi.
 
Mbona wakati muwafaka ulikuwa ule wa Mchakato wa katiba ,
Sasa leo ndo unaanzia wapi?
Maana suala la Ktiba halimo kabisa katika Ilaniya CCM,
bali vyama vya upinzani makini vyote vimezungumzia Katiba.
lakini Huja jibu swali

Tufanyeje ili kuwalizimisha CCM kukubali kurejesha mchakato wa katiba mpya?
 
Hata siku moja tusijaribu kuota Uongozi huu wa Mkulu katiba inaweza kuwa ajenda japo moja ya kipindi hichi cha miaka mitano.

Katiba hii inamfaidisha yeye na CCM. Tunatakiwa kupaza sana sauti.
 
Hili ni swala mtambuka ndugu na kwasasa linahitaji mchakato mrefu na siyo solution za muda mfupi.

Tukumbuke mtaji wa kwanza katika harakati zozote ni wananchi kujua wanapigania nini. Kwa hali ilivyosasa bado uelewa wa wananchi ni mdogo kuhusu maswali ya siasa na wanasiasa wanatumia mwanya huo kupata kile wanachokitaka ambacho ni madaraka.

Jambo la kwanza ambalo linaweza fanyika ni kwa vile vyama vya upinzani vyenye maono ya muda mrefu, NGO's, pamoja na wanaharakati kuelekeza nguvu kubwa katika kutoa elimu ya umuhimu wa Katiba mpya kwa wananchi wote.

Ikiwa tukiwapa elimu ya kutosha wananchi na kuelewa ni kwa namna gani Katiba ina mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi yetu hapo ndipo wananchi wanaweza kuanza kusimama na kupigania Katiba mpya.
Lakini kama vyama vya upinzani mfano CHADEMA wakisubiri mpka kipindi cha kampeni ndiyo waanze kuzungumzia Katiba wananchi wengi hawataelewa vizuri umuhimu wa Katiba katika nchi yetu.

Nashauri tuu mapambano yaendelee na wapinzani pamoja na wanaharakati wasisubiri mpka nyakati za kampeni.
 
Hata siku moja tusijaribu kuota Uongozi huu wa Mkulu katiba inaweza kuwa ajenda japo moja ya kipindi hichi cha miaka mitano.

Katiba hii inamfaidisha yeye na CCM. Tunatakiwa kupaza sana sauti.
Tusikate tamaa tuendelee kusimamia kile tunachokiamini hata kama wengi wanaweza dhani tumechanganyikiwa.
 
Hata siku moja tusijaribu kuota Uongozi huu wa Mkulu katiba inaweza kuwa ajenda japo moja ya kipindi hichi cha miaka mitano.

Katiba hii inamfaidisha yeye na CCM. Tunatakiwa kupaza sana sauti.
Katiba haiwezi kuwa ajenda kwake lakini tuendelee kupiga kelele na kuwakumbusha kuwa hatukubaliani na namna mambo yanavyoenenda kwa sasa.
 
Back
Top Bottom