Amalrik TZ
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 341
- 303
- Thread starter
-
- #21
Wengi ni njaa na sisi wananchi hatuwezi kutofautisha wenye nia ya dhata kati ya kundi kubwa la wenye njaa.Nimejifunza kutosumbuka asubuhi kwenda kupiga kura tena hakuna mpinzani wote njaa
Kweli huyu ni mfano wa wengi wenye njaa na ni ngumu sana kuwajua wenye nia ya dhati.Huyu njaa na uroho wa madaraka ulikua unamsumbua...Hana jipya kabisa
Alikuwa anataka kuwatoa kafara wananchi huku akijua dhima yake ya kutaka madaraka tuuHaahaa SoMo ni kwamba mbwa anajifukuzia mwenyewe.Wapemba wamekula kila aina ya mateso mwisho wa siku seif Kaula na wake zake. Wapemba mkiambiwa habari za maandamano mjiongeze
Jamaa ana uchu na njaa kali lazima ale tuu hata kama ni kibudu.
Wameonyesha nia yao ya dhati kuwa ni uchu wa madaraka tuuMiezi miwili iliyopita mlikuwa mnawasifia ACT, tena hadi ikafikia hatua mgombea wenu wa uRais Zanzibar kwa chama chenu mkamtema ili kuwaunga mkono ACT, how leo wamekuwa wapinzani uchwara
Mkuu hizo tulishazipa jina "AKILICCM" wanazijua wenyeweWatu wapigwe waumizwe wengine wachomewe nyumba zao halafu useme somo kalipata Amsterdam, hizi akili zenu za ajabu zitaendelea kuliangamiza taifa mkishirikiana na wapinzani uchwara kama hao ACT, na hao wafuasi wa ACT wakipenda waendelee kutumiwa tu.
KweliMkuu hizo tulishazipa jina "AKILICCM" wanazijua wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani wote hawa wanacheza mdondo wa CCM kwani CCM inawatumia kwa kadri inavyotaka.Nawaza lipumba anajionaje baada ya kufanya figisu kumuondoa mwenzie,na mwenzie ss anakula tena kupitia ACT
Kwa maoni yako haya Tuambie tunaanzia wapi kudai hiyo katiba Mpya?Tuweni makini sana na hawa wanasiasa uchwara. Nashauri tuu tuache kuwa washabikia wa hawa wachumia tumbo. Tuungane kwa pamoja na tupiganie kupata Katiba ambayo itatenganisha majukumu ya Serikali, Bunge pamoja na Mahakama hapo ndipo tunaweza kupata mabadiliko ya kweli katika nchi yetu katika nyanja zote.
Lakini Haya mambo yataendelea mpka lini?Hii ni kawaida kwa masuala ya vyama vya siasa na mfumo wa maamuzi, na safari hii wenzetu wameonyesha demokrasia pana kuliko tulivyo fanya sisi wakati wa maamuzi ya kumkaribisha Lowassa na kundi lake katika uongozi wa Chama.
Wao japo wamepata maoni kutoka kwa wana chama wao. Sisi hakuna kuulizwa wanachama kilichotokea tulifuata walicho amua viongozi.
Wanasiasa wote ni mfano tu wa Nyani, tofauti huwa ni msitu tuu.
Eti jamani tuanzie wapi?Kwa maoni yako haya Tuambie tunaanzia wapi kudai hiyo katiba Mpya?
Na ili madai yako CCM wayakubali si ndio kifo chao kimejiri?
Tufanyeje ili kuwalizimisha CCM kutupa katiba mpya?
Katiba ni jambo la Nchi kwa ujumla. Tunaweza kusimama wote bila kujali vyama vya siasa kama ilivyokuwa kipindi cha uhuru. Ikiwa wananchi tunakiamua kwa pamoja tunaweza hata ambao wapo CCM wataunga mkono juhudi.Kwa maoni yako haya Tuambie tunaanzia wapi kudai hiyo katiba Mpya?
Na ili madai yako CCM wayakubali si ndio kifo chao kimejiri?
Tufanyeje ili kuwalizimisha CCM kutupa katiba mpya?
Mbona wakati muwafaka ulikuwa ule wa Mchakato wa katiba ,Katiba ni jambo la Nchi kwa ujumla. Tunaweza kusimama wote bila kujali vyama vya siasa kama ilivyokuwa kipindi cha uhuru. Ikiwa wananchi tunakiamua kwa pamoja tunaweza hata ambao wapo CCM wataunga mkono juhudi.
Hili ni swala mtambuka ndugu na kwasasa linahitaji mchakato mrefu na siyo solution za muda mfupi.Mbona wakati muwafaka ulikuwa ule wa Mchakato wa katiba ,
Sasa leo ndo unaanzia wapi?
Maana suala la Ktiba halimo kabisa katika Ilaniya CCM,
bali vyama vya upinzani makini vyote vimezungumzia Katiba.
lakini Huja jibu swali
Tufanyeje ili kuwalizimisha CCM kukubali kurejesha mchakato wa katiba mpya?
Tusikate tamaa tuendelee kusimamia kile tunachokiamini hata kama wengi wanaweza dhani tumechanganyikiwa.Hata siku moja tusijaribu kuota Uongozi huu wa Mkulu katiba inaweza kuwa ajenda japo moja ya kipindi hichi cha miaka mitano.
Katiba hii inamfaidisha yeye na CCM. Tunatakiwa kupaza sana sauti.
Katiba haiwezi kuwa ajenda kwake lakini tuendelee kupiga kelele na kuwakumbusha kuwa hatukubaliani na namna mambo yanavyoenenda kwa sasa.Hata siku moja tusijaribu kuota Uongozi huu wa Mkulu katiba inaweza kuwa ajenda japo moja ya kipindi hichi cha miaka mitano.
Katiba hii inamfaidisha yeye na CCM. Tunatakiwa kupaza sana sauti.