Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Siasa duniani kote haitoi nafasi ya kufanya unacho amini, ila hutoa nafasi ya wewe kufanya kile kinachotakiwa kufanywa muda huo.Tusikate tamaa tuendelee kusimamia kile tunachokiamini hata kama wengi wanaweza dhani tumechanganyikiwa.
Ndio.Naombeni kujua.keaiyo zanzibari kuna makamu wawili wa raisi ??
Ndio. Kwa muundo wa serikali ya kitaifa inayojumuisha vyama vyote ambayo ilianza kufanya kazi 2010 kuna Makamu wa kwanza wa Rais pamoja na Makamu wa pili wa Rais.Naombeni kujua.keaiyo zanzibari kuna makamu wawili wa raisi ??
Hakika ndugu umenena vyema. Nafikiria kipindi kile cha wakoloni kama mababu zetu wangeweka njaa mbele tungeweza kweli kupata uhuru? Jibu ni hapana Mandela alikubali kufungwa jela miaka 27 lakini na kufungwa kwake kote aliendelea kusimamia kile anachokiamini mpka pale muda ulipofika Afrika kusuni ikapata uhuru.Siasa za njaa upatikana tz zaidi.
Siku moja, Stalin alimnyonyoa kuku manyoya yake yote akiwa hai kisha akamuacha akiwa anatoka damu mwili mzima! Alipomrushia punje za ngano, yule kuku akaanza kumfuata! Kuona vile, Stalin akawaeleza viongozi waliokuwa chini yake akisema: "Hivi ndivyo inavyokuwa rahisi kuwatawala watu wapumbavu. Wataendelea kukufuata haijalishi unawatesa na kuwanyanyasa kwa kiasi gani ili mradi unawapatia maslahi kidogo hata kama ni mara mojamoja"!
Huo ndio uliokuwa mtazamo wa Kiongozi wa zamani wa Urusi!
Mtu mwenye njaa hawezi kuwa kiongozi bora
Lakini siyo kila wanachotaka wao kifanyike ni sahihi. Inabidi vyama vya upinzani viwe na misimamo mikali ya mambo yale wanayoyaamini na siyo kufwata mtakwa ya watawala.Siasa duniani kote haitoi nafasi ya kufanya unacho amini, ila hutoa nafasi ya wewe kufanya kile kinachotakiwa kufanywa muda huo.
Kwa wenye madaraka ndio huwa wanarusha kitu gani ukifanye kwa muda huo. Na utakacho ruhusiwa kukifanya ni kile kitacho wapa faida au hakito wadhuru.
Mnachekesha sana wote wawili, kwa kiufupi uhuru tulimdai mtu baki, Usawa wa kisiasa tunamdai kaka yetu..Hakika ndugu umenena vyema. Nafikiria kipindi kile cha wakoloni kama mababu zetu wangeweka njaa mbele tungeweza kweli kupata uhuru? Jibu ni hapana Mandela alikubali kufungwa jela miaka 27 lakini na kufungwa kwake kote aliendelea kusimamia kile anachokiamini mpka pale muda ulipofika Afrika kusuni ikapata uhuru.
Heri mkoloni alituhurumia kuliko huyu kaka yetu.Mnachekesha sana wote wawili, kwa kiufupi uhuru tulimdai mtu baki, Usawa wa kisiasa tunamdai kaka yetu..
Unavyo mshugulikia mtu baki kwa kawaida huwa tofauti sana na unavyo mshugulikia kaka yako.
Na kuchelewa kujitoa muhanga wa kisasa kutimiza majambo yetu kwa kuwa madai yetu tuyaelekeza kwa kaka yetu na sio mtu baki.
Hiyo ni kweli kabisa.Heri mkoloni alituhurumia kuliko huyu kaka yetu.
Hawa watawala wa kiafrika wana roho mbaya sanaHiyo ni kweli kabisa.
Viongozi wetu wengi wanapenda kutumia rasmali zetu kwa manufaa ya wachache.Heri mkoloni alituhurumia kuliko huyu kaka yetu.
Kweli ndugu na kibaya zaidi hatuwezi kutenganisha maisha yetu ya kila siku na siasa.