Hizo kucha haziathiri chochote kwenye kujisafisha...mana hairuhusiwi kujiingiza vidole,,ni anaosha tu vzuri USO wa uke na Maji mengi masafi anatakata,,labda kucha zihifadhi uchafu wa huko chini km upo ila anajisafisha tu,,,uke unasafishwa km uso tu,,,bila kujiingza mavidole
Ingawa kucha ndefu kwa mtu mwenye kinyaa ni uchafu hasa kwenye maandalizi ya chakula,,mana sometimes huweka uchafu sasa ukikara nyanya uchafu unaweza kutoka ukaingia kwenye nyanya au Michele unaooshwa a mboga za majani