Je, kucha zilisha mgharimu Zari kama wengine?

Je, kucha zilisha mgharimu Zari kama wengine?

Hizo kucha haziathiri chochote kwenye kujisafisha...mana hairuhusiwi kujiingiza vidole,,ni anaosha tu vzuri USO wa uke na Maji mengi masafi anatakata,,labda kucha zihifadhi uchafu wa huko chini km upo ila anajisafisha tu,,,uke unasafishwa km uso tu,,,bila kujiingza mavidole

Ingawa kucha ndefu kwa mtu mwenye kinyaa ni uchafu hasa kwenye maandalizi ya chakula,,mana sometimes huweka uchafu sasa ukikara nyanya uchafu unaweza kutoka ukaingia kwenye nyanya au Michele unaooshwa a mboga za majani
Endelea kuwadanganya eti wanawe juuu,huo ni uchafu
 
Back
Top Bottom