Hakuna shida yoyote.Habari,
Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari. Bila shaka wako pia wenye hofu au uwelewa huu. Basi tujadili hili kwa uzoefu kwa pamoja na mwishoni tuweze pata hitimisho la pamoja kuliko kushusha nondo tu.
Haya ndugu zangu tujadili hili.
View attachment 3427054
wapenzi wa picha sijawasahau.
Dawa nzuri sanaNasikia n dawa ya nguvu za kiume 😎
Hakuna shida kabisa na ni nzuri Sana kiafyaHabari,
Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari. Bila shaka wako pia wenye hofu au uwelewa huu. Basi tujadili hili kwa uzoefu kwa pamoja na mwishoni tuweze pata hitimisho la pamoja kuliko kushusha nondo tu.
Haya ndugu zangu tujadili hili.
View attachment 3427054
wapenzi wa picha sijawasahau.
Na mambo yetu yalee Naskia inasaidia pia😎Hakuna shida kabisa na ni nzuri Sana kiafya
Yes ni kweli kabisaNa mambo yetu yalee Naskia inasaidia pia😎