Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Wewe kijana umekula asubuhi kweli?Rubbish.
Kweli majitaka ya mtu mzima ya asbh kbsRubbish.
Ukiwa huna?Kama ni mwanachama ni muhimu kuchangia sio 'lazima' ni MUHIMU.
Mwenyekiti Wa CCM, Leo Anafuturisha WapiMimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?
Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?
#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
Unabaki mwanachama bila kuchangia ada. Yaani haifuti uanachama wako.Sasa unasemaje ni mwanachama na Ada za Chama huchangii?
Hudhuria vikao, toa mawazo, shiriki mijadala, kuwa mhamasishaji mzuri n.kUkiwa huna?
Ndivyo nimesema ni mwanachama wa hivyo.Hudhuria vikao, toa mawazo, shiriki mijadala, kuwa mhamasishaji mzuri n.k
Utachangiqje wakati mmeiba mali zote za raia? ccm ni majambazi km majambazi mengineMimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?
Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?
Soma: Pre GE2025 - Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali
#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
Hata kuwapigia kura ni mchango tosha.Ndivyo nimesema ni mwanachama wa hivyo.
Nimetamka tusi ,ila nmekumbuka Kuna BANMimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?
Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?
Soma: Pre GE2025 - Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali
#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
Una kadi ya chama ,kama una kadi yachama basi unakichangiaMimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?
Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?
Soma: Pre GE2025 - Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali
#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
Juha!Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?
Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?
Soma: Pre GE2025 - Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali
#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
Kwanza kama una akili timamu ungehoji hivi? Je kutoa rambirambi kwenye msiba wa mtu unayemjua ni hiari au lazima? Na kwann unatoa lambilambi!?Unabaki mwanachama bila kuchangia ada. Yaani haifuti uanachama wako.
Unashiriki shughuli za chama.
Unaendelea kuzungumza na kusaidiana na wanachama wenzako.
Kueneza na kukilinda chama.