Pre GE2025 Je! Kuchangia chama ni lazima?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
be smart then gentleman 🐒
Unakuwa smart then hujui katiba ya nchi yako. Hujui hata civil rights ( haki za kiraiya) na wala hujui kwamba wanachama wote wa vyama vya siasa duniani ukitoa vile vinavyochangiwa na MATAJRI WALA RUSHWA kama ccm. Huchangiwa na wanachama wao.
Kama democratic party USA kinachangiwa na waachama wake .
Ni mjinga, mshba na mpumbavu tu ndo ashangae wanachadema kushangilia chama chao
 
Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?

Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?

Soma: Pre GE2025 - Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali

#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
Mbona raisi samia anachangia magori wakati timu zinajiweza.Tuanzie hapo
 
Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?

Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?

Soma: Pre GE2025 - Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali

#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
michango yote binafsi ya hali na mali ni muhimu sana kwa mustakabali wa ustawi wa vyama vya siasa nchini,

hata hivyo sio kama hii inayofanywa na vibaka na matepeli wa siasa nchini, chama cha siasa kudhulumu wanachama wake pesa, uhuru na haki za kikatiba za wanachama wao mathalani kupiga kura n.k.

kama mwanachama makini wa chama cha siasa unaweza kujitolea kuelimisha wananchi sera, itikadi na misingi ya kuanzishwa kwa chama chenu, unaweza kujitolea kujenga ofisi za chama au kununua samani za ofisi n.k

kuchangisha watu pesa kiasi cha kisichojulikana, na bila kuelezaea specifically matumizi ya fedha hizo na bila kufafanua kinagaubaga ukomo wa uchangiaji ni lini,

huo ni utapeli wa wazi na ni aina Fulani ya utakatishaji fedha ambao ni vibaka wa kisiasa pekee ndio wanaweza kufanya hivyo 🐒
 
Unakuwa smart then hujui katiba ya nchi yako. Hujui hata civil rights ( haki za kiraiya) na wala hujui kwamba wanachama wote wa vyama vya siasa duniani ukitoa vile vinavyochangiwa na MATAJRI WALA RUSHWA kama ccm. Huchangiwa na wanachama wao.
Kama democratic party USA kinachangiwa na waachama wake .
Ni mjinga, mshba na mpumbavu tu ndo ashangae wanachadema kushangilia chama chao
nonsense comment of the day with useless mayhem 🐒
 
Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama?

Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa mawazo, na kuhamasisha maendeleo ndani ya chama. Lakini je, ni sahihi kuwa mwanachama bila kuchangia? Nini maoni yenu?

Soma: Pre GE2025 - Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali

#CCM #Uanachama #MchangoWaMwanachama
NONSENSE!
 
Kuchangia kila siku, hiko chama kinabeba ruzuku safi tu kwa mwezi/mwaka.
Hela zinaenda wapi?
Jamaa mwenye chana anawadai.
Ndo hayo mambo ya tone tone.
 
Back
Top Bottom