Wewe pekee ndio hupati x mbona wenzio tunatumia vizuri tu, washa vpn acha uzembe
Kwahiyo sasa hivi wewe hapo kijiweni kwenu ndo Elon Mask genius wa VPN??Hili suala la VPN wengi hawalijui, hata wale tunaowaita wasomi, lakini pia kutumia VPN kwa Tz ni kosa.
Jana wakati rafiki yangu mmoja ni msomi mzuri tu, tena mwenye exposure nzuri ya huko ughaibuni, amenishangaza kwa kutoweza kuipata X mpaka pale nilipomsaidia kuinstall VPN.