Je, kufanya mapenzi sana kuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume?

Je, kufanya mapenzi sana kuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Muishi milele wanafj

Kumekuwa na mtazamo kuwa mwanaume akifanya sana ngono hupata madhara kama kupungua kwa siku zake zakuishi n.k hii ni kwakuwa kwenye sex me ni mtoaji (loser). Huku wengine wakisema sex ni muhimu kwakuwa ina faida nyingi kiafya.

Karibu tubadilishane uzoefu kuhusu suala hili, Je, "too much sex" ni ipi na kikawaida ili iwe kawaida/kiafya ifanyike mara ngapi kwa siku/wiki.

Na je, nikizungumzia kwa waliooana kufanyaa mapenzi kila siku kunaweza mpatia madhara hasi mwanaume?

Karibu.
 
Kuna ishu ya uraibu wa ngono. Hii inaathiri jinsia zote mbili lakini Mambele Kuna hadi taasisi za kutibu wenye uraibu huu.

Sidhani kama kuna mwanaume anaeza fanya ngono kupitiliza kwasababu mfumo hauruhusu....hata uweje, Kuna mda utakataliwa tu.

Angalia wacheza p*no, wao wanafanya sana, ndo kazi yao lakini kuna programu za lishe na mazoezi wanazingatia na wanakaa poa tu.
 
Kufanya mapenzi sana hakuna madhara yoyote, ila kufanya ngono sana ndiko kuna madhara....kwa dhana halisi na kubwa ya mapenzi ni kwamba mapenzi ni Neno mtambuka kwa maana halipo kwenye mkutatha wa tendo la ngono tu, Bali ni huruma, kujaliana, kuthaminiana na mengi km hayo....ndo mapenzi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaaaaani
 
Back
Top Bottom