Je, kufanya mapenzi sana kuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume?

Je, kufanya mapenzi sana kuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume?

Hakuna hata we fanya tu uwezavyo, lakini hakikisha hutumii mkongo wala dawa za kisimamishia misuli.
kula tu chakula cha asili
 
Muishi milele wanafj

Kumekuwa na mtazamo kuwa mwanaume akifanya sana ngono hupata madhara kama kupungua kwa siku zake zakuishi n.k hii ni kwakuwa kwenye sex me ni mtoaji (loser)
Huku wengine wakisema sex ni muhimu kwakuwa inafaida nyingi kiafya

Karibu tubadilishane uzoefu kuhusu suala hili, Je "too much sex" ni ipi na kikawaida ili iwe kawaida/kiafya ifanyike mara ngapi kwa siku/wiki

Na je, nikizungumzia kwa waliooana kufanyaa mapenzi kila siku kunaweza mpatia madhara hasi mwanaume?

Karibu
Kufanya ngono sana kupo vp ?hebu fafanueni maana mimi najiona kama vile nafanya sana
 
Kuna kitu kinaitwa Energy Overdraft. Kimeuwa wanaume wengi Sana
Wengi wanaume kuishia kumwaga vimajimaji tu visivyo na nguvu za uzazi

Hivyo wengi kuwa matasa wa kiume pia hawana uwezo wa kuzalisha watoto strong wenye akili nyingi hata wakizaa mitoto inakuwa na akili duni sana

Mwananaume yeyote tombatotomba huwa hana uwezo wa kutema mbegu za uzazi na hata akitema anatema vimaji maji tu wengine huishia kutokuwa na watoto halafu husingizia wanawake wao kuwa ndio matasa kumbe wao ndio matasa wanamwaga vimajimaji wakijamiiana na wake zao hawana mbegu strong za kuzalisha shauri ya kuwa tombatotomba kama mbwa

Tatizo lingine la tombatotomba ni kuzaa watoto weak kiakili na kinguvu hata kama mtu kaoa hatakiwi kufanya mapenzi ni paradol kuinywa mbili mara tatu kutwa


Kunatakiwa resting period pia
 
Back
Top Bottom