Je, kufanya mapenzi sana kuna madhara yoyote kiafya kwa mwanaume?

Hakuna hata we fanya tu uwezavyo, lakini hakikisha hutumii mkongo wala dawa za kisimamishia misuli.
kula tu chakula cha asili
 
Kufanya ngono sana kupo vp ?hebu fafanueni maana mimi najiona kama vile nafanya sana
 
Kuna kitu kinaitwa Energy Overdraft. Kimeuwa wanaume wengi Sana
Wengi wanaume kuishia kumwaga vimajimaji tu visivyo na nguvu za uzazi

Hivyo wengi kuwa matasa wa kiume pia hawana uwezo wa kuzalisha watoto strong wenye akili nyingi hata wakizaa mitoto inakuwa na akili duni sana

Mwananaume yeyote tombatotomba huwa hana uwezo wa kutema mbegu za uzazi na hata akitema anatema vimaji maji tu wengine huishia kutokuwa na watoto halafu husingizia wanawake wao kuwa ndio matasa kumbe wao ndio matasa wanamwaga vimajimaji wakijamiiana na wake zao hawana mbegu strong za kuzalisha shauri ya kuwa tombatotomba kama mbwa

Tatizo lingine la tombatotomba ni kuzaa watoto weak kiakili na kinguvu hata kama mtu kaoa hatakiwi kufanya mapenzi ni paradol kuinywa mbili mara tatu kutwa


Kunatakiwa resting period pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…