Je, kufanya mapenzi (sex) mara kwa mara kunachangia kupungua kwa nguvu za kiume?

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Habarini wadau kama heading inavyosema. Kuna ukweli wowote kate ya sex ya mara kwa mara na upungufu wa nguvu za kiume?

Mfano kwa wiki mara 4 na bao tatu tatu.
 
Mi ni dr wa tiba asili na mtaalamu wa nguvu za kiume ukisex mara kwa mara unafanya mishipa kua imara na hormone kua nying na uwiano sahihi wa kuzalisha shahawa maana kwa siku unazalisha shahawa milion moja kwa week milion saba so lazima utoe kue nanafas ila ukitaka kutia mimba ndio usisex kwa siku 72 ili shahawa zikomae vyema asante ulizakingine mimi ni balaa kwenye nguvu za kiumee
Siku 72?
 
hzo shahwa milioni moja zinakaaje kwenye pumbu ya mwenye kishipa? 🥴
 
Back
Top Bottom