Je, kufanya riot kushinikiza kupatikana kwa Mdude itakuwa ni kosa?

Je, kufanya riot kushinikiza kupatikana kwa Mdude itakuwa ni kosa?

Nawauliza wote wenye mapenzi mema je kama jamii ikiamua kufanya shinikizo ili mdude apatikane itakuwa ni kosa?
Wafanya makosa hawa wezi kukubari makosa yao.

Tumeona kauli za kipuuzi ngazi za juu mpaka jeshi la polisi
 
ki katiba ni sahihi ila ukijaribu ukafanikiwa kufikisha ujumbe jiandae kwa lolote .. watu hawataki kukumbushwwa wajibu wao.. watu utu umewatoka ni pesa mbele
 
Riot gani sasa? Mikutano tu mnaomba kibali na inalindwa na polisi , riot si inabidi mkaombe kibali ikulu?
 
Wanaofanya hawasemi, Mtwara walifanya ya Gesi walichoma magari na kuharibu ,tuone nyie watu wa Mbeya na unafiki wenu.
 
Nawauliza wote wenye mapenzi mema je kama jamii ikiamua kufanya shinikizo ili mdude apatikane itakuwa ni kosa?
hebu ujaribu gentleman ili hatimae ionekane wazi ufanyavyo hiyo riot kama ni kosa ama sio kosa kwa mujibu wa sheria na kama ni usumbufu na fujo kwa wasio husika nayo :pulpTRAVOLTA:
 
Nawauliza wote wenye mapenzi mema je kama jamii ikiamua kufanya shinikizo ili mdude apatikane itakuwa ni kosa?
Tayari mmeshapigwa mkwara wa maana (OVYO KALI), hata hizo nguvu utapata na tulivyo waoga!.
20250511_104459.jpg
 
Kushinikiza na Riot ni mbingu na nchi (vitu viwili tofauti kabisa); Kushinikiza ni haki yako kama binadamu hususan kama mlipa kodi unatakiwa ulaumu popote pasipo na Haki na sio Mdude tu hata kama ni kahaba anayedhalilishwa

Riot; a violent disturbance of the peace by a crowd.;

Two wrongs don't make a right;

By the way issue isiwe Mdude pekee bali ni yoyote yule aweze kuishi kwa Haki na Uhuru (hususan wale wasio na kuwasemea); kwahio unasema Mdude akipatikana all is well mpaka apotee mwingine mwenye umaarufu ?

 
Back
Top Bottom