Je, Kuiba na kuchukua bila idhini ni sawa?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Taifa linalia na ufisadi, Wapo watu wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ufisadi wa mali za umma. Kuna watu waliochukua fedha za umma na kwenda kulewea na kuzitoroshea ng'ambo zisijulikane, lakini wako watu waliochukua fedha za umma bila idhini na wakaziwekeza nchini kwa kujenga mahoteli, viwanda, mashule, na kulima mashamba makubwa na kutoa ajira kwa watanzania wengi na kulipa kodi mbalimbali serikalini. Je, watu hawa 2 kiuchumi na kisheria wametenda makosa yaliyo sawa? wanahitaji adhabu sawa?
 
Money laundering
 
Ni sawa na mtu kuua ili apate nyumba ya aliyeuliwa, ndio unafanya jambo sahihi la kuishi kwenye nyumba ila si sahihi njia uliyotumia kuipata nyumba.
 
Back
Top Bottom