Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
section 160 ya LMA ni miaka miwili
LMA ndo nini?section 160 ya LMA ni miaka miwili
lma ndo nini?
lemal unamaana gani unaposema "two year conservative????"
kifungu kipi kinasema mpaka waishi mfululizo? akisafiri kikazi au kusalimia ndugu anakuwa ha-qualify? kimsingi sheria haiwabani wanandoa kuishi under one roof muda wote ndio maana mke anaweza kufanya kazi mbali na mume wakakutana week end tu,vile vile tafsiri ya jamii inayowazunguka sio narrow,kama wazazi wako dar wanandoa wako mwanza?miezi sita haitoshiiiiii, inatakiwa miaka si chini ya miwili, muwe mlikuwa mnaishi mfululizo, wanaowazunguka wamewachukulia kama mke na mme, na mmoja wenu hakuwa na ndoa inayoendelea. bofya hapa utaelewa SHERIA KWA KISWAHILI
Tena inabidi iyo presumption of marriage iwe two year
Conservative
Tena... Living under the same roof for two years consecutively.Tena inabidi iyo presumption of marriage iwe two year
Conservative
i Hope you can help to educate hii mutu ya kwanza hapo juu aliyechangia. hajui maana ya "consecutive", nafikiri tunahitaji kujua hata level ya uzoefu na elimu za wanasheria kadhaa humu jf kwasababu wengine wanachangia kama vile wanasheria kumbe ni first year LLB.
consecutive
nimekuwa nikisikia kuwa mkiishi kinyumba na mwanaume au mwanamke miezi sita kisheria inatambulika kama mke au mumu..msaada
miezi sita haitoshiiiiii, inatakiwa miaka si chini ya miwili, muwe mlikuwa mnaishi mfululizo, wanaowazunguka wamewachukulia kama mke na mme, na mmoja wenu hakuwa na ndoa inayoendelea. bofya hapa utaelewa SHERIA KWA KISWAHILI