Je kukojoa mkojo wa njano ni tatizo la kiafya? Ushauri tafadhari

Je kukojoa mkojo wa njano ni tatizo la kiafya? Ushauri tafadhari

kwa kuanzia kunywa maji mengi ya kutosha. Mengine ya ziada Riwa na wenzake watakujibu!
 
ndio ni tatizo la kutokunywa maji ya kutosha.
hakikisha mkojo wako wa mwisho kabla ya kulala unakuwa colorless ndicho kipimo rahisi cha kunywa maji ya kutosha kwa siku.
 
Inaweza kuwa tatizo au sio tatizo, inategemea na kazi unayofanya na mazingira unayoishi, vile inategemea na kiasi cha maji unachokunywa kwa siku.
Kama unafanya kazi ambayo unatumia nguvu nyingi za mwili au sehemu unayokaa unatoka jasho sana na kiasi cha maji unachokunywa ni kidogo itakuwa si tatizo sana, unachohitaji ni kuongeza kiwango cha maji unachokunywa.
Kama unakojoa mkojo kidogo tuseme kwa masaa 24 kiwango hakifiki hata nusu lita,hali unakunywa maji ya kutosha, itakuwa ni shida na unahitaji kwenda hospital mapema.
Ukienda hospital wakakusikiliza itakuwa vizuri zaidi
 
kwa kuanzia kunywa maji mengi ya kutosha. Mengine ya ziada Riwa na wenzake watakujibu!

Umemaliza...kunywa maji. Mwili wa binadamu unahitaji si chini ya lita 2.5 kwa siku..ukitoa unazopata kwenye chakula na vinywaji visivyo rasmi, bado unahitaji kunywa si chini ya lita 1.5 ya maji plain! Hiyo ni minimum..
 
Ndio ni tatizo, unatakiwa kunywa maji safi na salama ya kutosha kuondokana na hiyo hali, usipofanya hivyo hivyo unaweza kupata matatizo ya kiafya, mfano kuna kitu kinaitwa mawe katika kibofu cha mkojo nk.

Dawa ni simple kunywa maji ya kutosha ni tiba safi isiyo ghari sana na isiyo na madhara katika mwili pia.
 
Kukojoa mkojo wa njano,ni ishara kuwa mwili hauna maji ya kutosha na unahtaj maji...this happens when hormone Anti-diuretic(Vasopresin) produced by posterior pituitary gland to be send to the kidney via blood stream in response to water shortage,there cause water retention, back to the body,hence urine be concentrated..isingetokea ivo yale maji yalikuw yanatolewa na other substance as urine.
 
ni sawa yote waliyosema wakuu hapo ni maji tu na ukinywa kwa wing utaona utakuwa mweupe zaidi kama utapata na juice ya miwa ndo vzur maana ile inasafisha mkojo kwa haraka na maji ya madafu na mkojo wa njano unakuwa na harufu pia,,,,,,na unauwezekano wa kuwa na UTI
 
ndio ni tatizo la kutokunywa maji ya kutosha.
hakikisha mkojo wako wa mwisho kabla ya kulala unakuwa colorless ndicho kipimo rahisi cha kunywa maji ya kutosha kwa siku.

Muda huo ndo natoka kunywa bia usiku hata kuangalia rangi ya mkojo ni tabu kubwa
 
Kukojoa mkojo wa njano,ni ishara kuwa mwili hauna maji ya kutosha na unahtaj maji...this happens when hormone Anti-diuretic(Vasopresin) produced by posterior pituitary gland to be send to the kidney via blood stream in response to water shortage,there cause water retention, back to the body,hence urine be concentrated..isingetokea ivo yale maji yalikuw yanatolewa na other substance as urine.
he, unasema? nimepata kizunguzungu!
 
ni sawa yote waliyosema wakuu hapo ni maji tu na ukinywa kwa wing utaona utakuwa mweupe zaidi kama utapata na juice ya miwa ndo vzur maana ile inasafisha mkojo kwa haraka na maji ya madafu na mkojo wa njano unakuwa na harufu pia,,,,,,na unauwezekano wa kuwa na UTI
kwahiyo dawa Ni maji !
 
Napenda sana kunywa maji ila nachukia sana kwani huwa nakojoa sanaaa nikinywa maji ya kutosha
 
Normal urine color ni pale yellow kwa mtu ambaye hana shida yoyote ila kama mkojo wako ni deep yellow ujue kuna matatizo ukapime maana sio kawaida unaweza ukakuta kuna RBC kwenye mkojo kutokana na infection.
Pia ukiwa unakojoa constantly whitish urine hata kama hujanywa maji pia kuna shida mkuu sana sana kisukari.
Mkojo ukiwa blackish pia kuna shida sana sana mgonjwa mwenye malaria kali hukojoa mkojo wa namna hii
 
Back
Top Bottom