Je, Kuku wa Kienyeji anaweza kutamia Mayai 30?

Maswali mengine bhana! Unaamini jukwaani hapa kuna kuku mwenye ID?
 
No haiwezekani na hii ni kutokana na umbo la kuku mwenyewe lilivyo. Kwa mfano mayai therathin ukimpatia kuku ayaatamie utaona ameweza kufunika baadhi takriban 10-15 na mengine yote kubakia nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…