Je, Kuku wa Kienyeji anaweza kutamia Mayai 30?

Je, Kuku wa Kienyeji anaweza kutamia Mayai 30?

No haiwezekani na hii ni kutokana na umbo la kuku mwenyewe lilivyo. Kwa mfano mayai therathin ukimpatia kuku ayaatamie utaona ameweza kufunika baadhi takriban 10-15 na mengine yote kubakia nje.
 
Back
Top Bottom