Je? Kuku wa malawi yaani black australorp ni vipi?

Je? Kuku wa malawi yaani black australorp ni vipi?

Nzuri mpendwa
Yaani hawa kuku unakuwa huna pressure kabisa hao wekundu /cornish wanakuwa hadi basi mie nikaogopa maana nimeona wakubwa hawatagi lakini wameanza kutaga wote sasa hivi, nasubiri batch yangu tu ya pili

Sasa ile oda tufanye tarehe 5/feb uchukue ila sasa itakuwa j'nne !
 
Back
Top Bottom