P Poultry Sayuni Senior Member Joined Sep 6, 2011 Posts 125 Reaction score 36 Jan 29, 2013 #21 Mama Joe said: Nzuri mpendwa Yaani hawa kuku unakuwa huna pressure kabisa hao wekundu /cornish wanakuwa hadi basi mie nikaogopa maana nimeona wakubwa hawatagi lakini wameanza kutaga wote sasa hivi, nasubiri batch yangu tu ya pili Click to expand... Sasa ile oda tufanye tarehe 5/feb uchukue ila sasa itakuwa j'nne !
Mama Joe said: Nzuri mpendwa Yaani hawa kuku unakuwa huna pressure kabisa hao wekundu /cornish wanakuwa hadi basi mie nikaogopa maana nimeona wakubwa hawatagi lakini wameanza kutaga wote sasa hivi, nasubiri batch yangu tu ya pili Click to expand... Sasa ile oda tufanye tarehe 5/feb uchukue ila sasa itakuwa j'nne !
M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 840 Jan 29, 2013 #22 RETI said: Sasa ile oda tufanye tarehe 5/feb uchukue ila sasa itakuwa j'nne ! Click to expand... Asante sana tutawasiliana jumatatu jioni basi. Barikiwa
RETI said: Sasa ile oda tufanye tarehe 5/feb uchukue ila sasa itakuwa j'nne ! Click to expand... Asante sana tutawasiliana jumatatu jioni basi. Barikiwa
malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 215 Reaction score 79 Feb 1, 2013 Thread starter #23 Lakini kati ya hao weusi na wekundu wapi ni bora?