Katika vitabu vitakatifu vya neno la Mungu vinatuasa kukiri dhambi ili tupate kusamehewa dhambi zetu. Lakini hili ni tofauti na sheria za nchi nyingi duniani hapa hasa zinazotumia sheria za uingereza.
Ukifanya kosa na kufikishwa mbele ya sheria na kusomewa mashtaka unachopashwa kufanya ni kukana kosa hata kama kweli ulifanya hilo kosa,vilevile kukana kosa linamsaidia wakili wa upande utetezi kuwa na nguvu ya kukutetea kisheria. mfan.mtu amehamasisha mgomo ktk taasisi fulani na kufanikisha mgomo lkn akfikishwa mbele ya xheria ukana kosa au umefumaniwa namke/mme wa mtu live lkn hakubali kosa bali ukana kosa bila kujali shahidi uliopo.
Binafsi sio mwanasheria na ningependa kufahamu sababu hasa ya kuwepo kwa mfumo huu wa uongo mbele ya sheria na je ukikiri kosa mbele ya sheria na kuomba msmaha, utaachwa huru au ndo umerahisisha kifungo?