Je, kukubali kosa mbele ya sheria ni kosa kisheria?

Je, kukubali kosa mbele ya sheria ni kosa kisheria?

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
406
Reaction score
116
Katika vitabu vitakatifu vya neno la Mungu vinatuasa kukiri dhambi ili tupate kusamehewa dhambi zetu. Lakini hili ni tofauti na sheria za nchi nyingi duniani hapa hasa zinazotumia sheria za uingereza.

Ukifanya kosa na kufikishwa mbele ya sheria na kusomewa mashtaka unachopashwa kufanya ni kukana kosa hata kama kweli ulifanya hilo kosa,vilevile kukana kosa linamsaidia wakili wa upande utetezi kuwa na nguvu ya kukutetea kisheria. mfan.mtu amehamasisha mgomo ktk taasisi fulani na kufanikisha mgomo lkn akfikishwa mbele ya xheria ukana kosa au umefumaniwa namke/mme wa mtu live lkn hakubali kosa bali ukana kosa bila kujali shahidi uliopo.

Binafsi sio mwanasheria na ningependa kufahamu sababu hasa ya kuwepo kwa mfumo huu wa uongo mbele ya sheria na je ukikiri kosa mbele ya sheria na kuomba msmaha, utaachwa huru au ndo umerahisisha kifungo?
 
Huwa nasikia Marekani (U.S.A.) huwa wanatoa offer ya mtuhumiwa kukubali kosa then anapewa kifungo/hukumu ndogo ila ukikataa kesi ikaendelea halafu ukapatikana na hatia unapigwa "mvua" za kutosha jela.

Nilisikia ila sina uhakika nalo.
 
Ignorance of law is not justification of excuse infront of the Judge. Kama hujui kwa nn usiulize ukaelekezwa kwa hiyo utahukumiwa ili ujue kama ni kosa.
 
Na ukikubali kosa 'nasikia' unapelekwa milembe kuchekiwa uchizi! Mfumo wa sheria uwa ni maigizo matupu
 
Ignorance of law is not justification of excuse infront of the Judge. Kama hujui kwa nn usiulize ukaelekezwa kwa hiyo utahukumiwa ili ujue kama ni kosa.

Ndo maana nmeuliza km ni kosa kukiri kosa mbele ya sheria so ww km unajua eleza tutakuuelewa, tupo wengi tu hatujui au na ww hujui?
 
kukiri kosa ulilofanya mbele ya mahakama si kosa bali ni utaratibu ambao utafupisha kesi na kuisaidia mahakama kufikia maamuzi.
sheria ziko waz ukifanya nin utakuwa umevunja sheria na hukumu itakuwa nini. kama umefanya kosa ukakubali mbele ya mahakama haina maana usipewe adhabu bali kukubali kwako kunaweza kukusaidia usipewe adhabu kali kwa sabubu haukuisumbua mahakama.
 
ukikubali kosa mapema utakosa haki zako mbeleni, kwa mfano kusikilizwa,kujitetea na kukata rufaa. mahakama ndo chombo chenye uamuzi wa mwisho kuthibitsha kuwa una hatia.
 
Back
Top Bottom